Wanachama wa Chadema wakiandamana Dar Kupinga Unyama kwa Tundu Lissu
Wanachama wa Chadema wakiandamana kutoka makao makuu ya
chama hicho Kinondoni jijini Dar es Salaam hadi ofisi za kanda ya Pwani
ya Chadema wakilaani tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida
Mashariki Tundu Lussu wakiwa wameshika mabango yanayoonyesha jumbe mbalimbali kuhusu kitendo cha kinyama alichofanyiwa Mh Tundu Lissu.
No comments:
Post a Comment