RC Makonda alichofanya leo kwa Jeshi la Polisi DSM
Kupatikana kwa vitendeakazi hivyo ni matokeo ya jitiada binafsi za RC Makonda kutafuta Wahisani kwa lengo la kuleta mapinduzi makubwa kwa Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha Askari wanakuwa na vifaa vya kutosha ikiwemo magari, pikipiki za kawaida na za Traffic, Baiskeli za doria, silaha na Computer ili kuwarhisishia mazingira mazuri ya kufanyia kazi.
No comments:
Post a Comment