Header Ads

Video mpya ya Alikiba imefikisha views zaidi ya 1059,116 ndani ya saa 34


Ni saa 34 tu zimepita tangu mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ lakini tayari imeonekana mashabiki wake wameipokea vizuri baada ya kufikisha viewers zaidi ya 1059,116.

WATCH VIDEO

No comments:

Powered by Blogger.