Arsenal yapokea kipigo dhidi ya Liver, Msimamo wa Ligi Baada ya Mechi za Leo
Arsenal leo wamejikuta wakipoteza mchezo wa pili mfululizo wa Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018, kwa kuruhusu kufungwa magoli 4-0 na Liverpool, magoli ambayo yalitiwa nyavuni na Robert Firmino dakika ya 17, Sadio Mane dakika ya 40, Mohamed Salah dakika ya 57 na Danny Sturridge dakika ya 77.
Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Leicester wiki iliyopita kwa magoli 4-3, Arsenal sasa ipo katika nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi Kuu England wakati Liverpool wao wakiendeleza ushindi wa pili mfululizo baada ya sare ya 3-3 game yao ya ufunguzi wa EPL dhidi ya Watford.
MSIMO WA LIGI KUU
No comments:
Post a Comment