Header Ads

Saida Karoli alivyotua na kupokelewa Mwanza

Mwimbaji staa wa nyimbo za asili Saida Karoli amewasili Mwanza ambako atakuwa na show ya Kanda ya Ziwa ambapo amepokelewa vizuri na mashabiki wake waliomfuata Uwanja wa Ndege kwa msafara wa magari na bodaboda na kumsindikiza hadi katikati ya jiji.
Saida anatarajiwa kupiga show katika Uwanja wa CCM Kirumba kabla ya kuzunguka katika mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa.

No comments:

Powered by Blogger.