Paul Makonda baada ya kumalizana na Wahariri

Kwenye Press hii ya kwanza, Paul Makonda amewataka wakazi wa Dar es
Salaam wenye ulemavu wa miguu na wanahitaji miguu ya bandia, wafike
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kupimwa na kupewa miguu hiyo
katika zoezi litakalofanyika August 14 na 15, 2017.
Ameifanya hii baada ya kutafuta na kupata Wadhamini ambao wamekubali kusaidia miguu ya bandia 200 ambayo itagaiwa kwa watu wenye ulemavu ili kuwasaidia kuweza kufanya shughuli zao kama kawaida ambapo katika awamu ya kwanza itagaiwa miguu 200 huku mguu mmoja ukiwa na thamani ya Tsh. Milioni 3.

No comments:
Post a Comment