Comment ya Bilionea wa 20 Afrika kwenye post ya Alikiba
Alikiba ambaye video ya wimbo wake wa ‘Seduce Me’ inafanya vizuri kwa sasa amepata pongezi kutoka kwa mfanyabiashara na bilionea wa 20 Afrika kwa mujibu wa mtandao wa www.forbes.com Mohamed Dewji kupitia ukurasa wake wa instagram.
MO Dewji amecomment katika post ya Alikiba ya kushukuru mashabiki na watu mbalimbali ambao wamesapoti video yake kufikisha views milioni mbili ndani ya siku tatu katika mtandao wa YouTube.
No comments:
Post a Comment