Header Ads

Breaking News : Ofisi za IMMMA Advocates za wanasheria Fatuma karume na Lawrence Masha zimewaka moto Alfajiri ya Leo chanzo hakijajulikana

 http://s65.podbean.com/pb/9b18f775afd920c3f2dca6628b5f33db/59a11bca/data1/fs63/771188/uploads/BREAKINGNEWS.png
Habari iliyonifikia asubuhi hii ya leo August 26, 2017 ni kutoka Dar es Salaam zinahusu Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto alfajiri ya leo.
"Tumepata janga kubwa, ofisi yetu imepigwa bomu uharibifu mkubwa Polisi wapo wengi nimefika hapa Upanga tangu saa 9, mtuombee" amesema Fatma Karume 
TAZAMA PICHA
[​IMG]
 [​IMG] [​IMG]
[​IMG]

No comments:

Powered by Blogger.