Babu Tale afunguka kuhusu bifu la Diamond na Alikiba
Babu TaleMeneja wa WCB Babu Tale ametia neno kwenye gumzo linaloendelea sasa hivi mitandaoni kati ya pande mbili za Wasanii wawili maarufu wa Bongofleva ambao ni Alikiba na Diamond Platnumz.
Tale kwenye Instagram yake ameandika ‘Tushindane kwenye kazi, vijembe vya mitandao tuwaachie mashabiki….. #zilipendwa link on my bio”
Tale kwenye Instagram yake ameandika ‘Tushindane kwenye kazi, vijembe vya mitandao tuwaachie mashabiki….. #zilipendwa link on my bio”
No comments:
Post a Comment