Header Ads

Mtangazaji wa EFM Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’ amefariki


Seth Katende alijipatia umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii Tanzania akifahamika kwa jina la ‘Bikira wa Kisukuma’ ambapo baadae akaanza kufanya kazi ya Radio kwenye kituo cha EFM.

Taarifa zilizotoka jioni ya leo July 9 2017 ni kwamba Seth amefariki, EFM imesema Seth amefariki akiwa kwenye Hospitali ya taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi ambapo msiba upo nyumbani kwa baba yake Changanyikeni Dar es salaam.

murotv.blogspot.com na MuroTV zinatoa pole kwa wote kwenye kipindi hiki kigumu cha kumpoteza Mwanahabari mwenzetu lakini pia Rafiki wa wengi.

KAMA ULIPITWA NA TAARIFA YA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI YA KIBITI, MWANZA ANGALIA HAPA CHINI

No comments:

Powered by Blogger.