Header Ads

MSIBA: Mwanamuziki mkongwe wa Msondo Ngoma Shaaban Dede amefariki


 Mwanamuziki mkongwe wa Band ya Msondo Ngoma Shaaban Dede amefariki dunia akiwa anapokea matibabu katika Hospitali ya Muhimbili.
Mtoto wa marehemu Hamad Dede amethibitisha kifo cha Shaaban Dede akisema mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Mbagala, DSM na kwamba ratiba na taratibu zote zitatangazwa mara baada ya kukamilika.

No comments:

Powered by Blogger.