Header Ads

Isikupite Habari njema kwa Tanzania kutoka FIFA, Leo

Baada ya mfululizo wa matokeo mazuri ya timu ya Taifa la Tanzania ‘Taifa Stars’ katika michezo tofauti tofauti inayocheza ikiwemo game za COSAFA ambazo zinatambuliwa na FIFA.

Leo July 6, 2017 taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, FIFA ni kuwa Tanzania imepanda katika viwango vya soka kwa mwezi June baada ya kufanya vizuri katika michezo kadhaa.
Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 139 hadi nafasi ya 114, ikiwa imepanda kwa nafasi 25. Hiyo ni good news kwa soka la Tanzania ambapo inatoa nafasi kwa kuonesha mataifa mengine kuwa soka la Tanzania linakuwa.

No comments:

Powered by Blogger.