Header Ads

Hamissa Mobetto a.k.a Mama Dee…

Mrembo Hamisa Mobetto anazidi kuzichukua headlines tangu ilipojulikana kuwa ni mjamzito mpaka ujauzito wake kuhusishwa na Diamond Platnumz mpenzi na mzazi mwenzake na Zari The BossLady na raundi hii amepost picha akiwa Nairobi na kuandika Mama Dee..?

Wanasema mwenye macho haambiwi tazama..
Kwenye post nyingine Hamissa alipost picha akiwa na dada pamoja mama mzazi wa Diamond Platnumz na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa kwa kuandika >>>This Day Last year …..Happy Birthday My love ..Allah akupe umri mrefu uishi miaka teley…. Nakupenda mama#NapokeaMatusiYaJumlaNaRejaReja

No comments:

Powered by Blogger.