Waziri wa Habari akutana na Wasanii wa Filamu na Waandishi wa Habari wa AFm Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.
Harrison Mwakyembe (Katikati) akiwa na waandishi wa habari wa A Fm Radio
walipomtembelea Bungeni leo.
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison
Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu,
Ndg Nice Mtunze na Bi Lydia Mgaya walipowatembelea Bungeni leo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt.
Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja waandishi
wa habari wa A Fm Radio walipomtembelea Bungeni

No comments:
Post a Comment