VIDEO : Angalia video na picha za RAYVANNY akikabidhiwa tuzo ya BET
Hongera Kwa Msanii wa WCB Wasafi Rayvanny, Staa huyu wa Bongo Fleva ndio mshindi wa Tuzo ya BET Viewer’s Choice Best New International Act 2017 kwenye tuzo za #BETAwards2017.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment