“Ugomvi wa Alikiba na Diamond ulianzia Oman 2010, mimi Shahidi” – AT
MuroTv
Burudani
“Ugomvi wa Alikiba na Diamond ulianzia Oman 2010, mimi Shahidi” – AT
AT amesema watu wengi wanakurupuka kuhusu ugomvi wa Alikiba na Diamond kwa kuwa alikuwepo Oman mwaka 2010 ambapo Alikiba na Diamond walikuwa wanacheza Game chumbani kwake kwenye Hotel waliyofikia.
“Tulikuwa Oman kwenye Hotel moja. Tulikuwa na Show, sasa walikuwa wanacheza Game Alikiba na Diamond huku Alikiba akiwa amechagua Real Madrid na Diamond amechagua Barcelona. Alikiba akilikuwa amefungwa mbili, Diamond tatu.
“Kwa hiyo Alikiba alikuwa anataka kupiga free-kick kwenye game Diamond akamsukuma Alikiba na Alikiba akastopisha game akamwambia kuwa mwanangu nilikuwa nakutafuta muda mrefu sana ikabidi mimi ninyanyuke sasa niwaamue.” – AT
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment