PICHA 9: IGP Sirro alivyofunga mafunzo ya Maafisa Uhamiaji leo CCP, Moshi
Hizi hapa picha 9 kutoka katika sherehe hizo ambapo Kozi hiyo ilihusisha Warakibu Wasaidizi, Wakaguzi Wasaidizi, Sajini Meja, Sajenti na Koplo.
IGP Simon Sirro akikagua Gwaride la Maafisa wa Uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa Maafisa hao
IGP
Simon Sirro (kulia) akibadilishana mazungumzo na Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala baada ya kukagua Gwaride wakati wa sherehe
za kumaliza Kozi ya Kwanza ya Maafisa wa Uhamiaji, CCP Moshi
IGP
Simon Sirro akiwahutubia Maafisa Uhamiaji baada ya kukagua Gwaride
wakati wa sherehe za kumaliza kozi ya kwanza kwa Maafisa Uhamiaji
IGP
Simon Sirro akimvisha Cheo Mkaguzi Msaidizi Hadija Masoud Ali wakati wa
sherehe za kumaliza kozi ya kwanza ya Maafisa Uhamiaji katika Chuo cha
Polisi Moshi, CCP.
Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851
No comments:
Post a Comment