Header Ads

PICHA 8: Hotel ya kisasa aliyonunua staa wa June 9, 2017

MuroTV

Michezo

PICHA 8: Hotel ya kisasa aliyonunua staa wa

Staa wa soka wa FC Barcelona na timu ya Taifa la Argentina Lionel Messi amenunua Hotel ya kisasa yenye hadhi ya Nyota 4 iliyopo karibu na Beach mwendo wa kilomita 40 kutoka katika mji wa Barcelona.
Mtandao maarufu wa The Mirror umeripoti kuwa Hotel hiyo ya kifahari yenye vyumba 77 imejengwa mwaka 2013 na imenunuliwa kwa Pound 26m ambapo gharama ya kulala kwa usiku mmoja ni kati ya euro 250 hadi euro 300.
Ikumbukwe pia kuwa Lionel Messi alianzisha kampuni yake inayoitwa Rosotel hivi karibuni ambayo inahusika na uwekezaji katika Hotel na Apartments.









MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
Image may contain: text KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA; 
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
          : prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:

Powered by Blogger.