UTAFITI: Maziwa ya Ng’ombe husaidia watoto kuwa warefu
MuroTV
Duniani
UTAFITI: Maziwa ya Ng’ombe husaidia watoto kuwa warefu
Utafiti uliohusisha zaidi ya watoto 5,034 wenye umri wa miaka mitatu hadi sita ulibaini zaidi ya 50% ya watoto waliokunywa maziwa ya mbuzi na wanyama wengine walionekana wafupi ukilinganisha na watoto waliokunywa maziwa ya ng’ombe.
Kwa mujibu wa utafiti huo, maziwa ya ng’ombe yanasaidia ukuaji wa watoto hasa wanaoanza kutambaa kutokana na viritubisho vya calcium, vitamin D na protein nyingi vinavyopatikana ukilinganisha na maziwa ya wanyama wengine.

MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment