Nandy baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na MC Pilipili
MuroTV
Mix
Nandy baada ya kudaiwa kuwa mapenzini na MC Pilipili
Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Nandy amebainisha kuwa watu wamekuwa wakidhani kuwa ni wapenzi kwa sababu ya ukaribu wake na MC Pilipili ingawa amekiri kuwa na mpenzi ambaye amedai hayuko tayari kumuweka wazi.
>>>“Nipo kwenye mahusiano ndiyo lakini sijayaweka wazi kwa wazazi ila kwa upande wetu yapo wazi. Ni kweli nilikuwa mtu wa karibu sana na MC Pilipili lakini hatukuwahi kutoka kimapenzi. Tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida.” – Nandy.
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment