KAMA HAUFAHAMU | Hii ndio tarehe rasmi ya uchaguzi wa marudio Kenya
Kwa mujibu wa katiba ya Kenya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Kenya baada ya kutangazwa kufutwa na Mahakama ya juu, sheria au katiba ya Kenya inataka uchaguzi Mkuu kurudiwa ndani ya siku 60, hivyo leo tume ya uchaguzi Kenya IEBC imetangaza kuwa October 17 2017 ndio tarehe ya uchaguzi wa marudio.
No comments:
Post a Comment