PICHA 21: Jengo la Grenfell Tower, London lilivyoteketea kwa moto
Bad story
inayomake headline kwenye mitandao mbalimbali tangu mapema leo June 14,
2017 ni kuhusu moto mkubwa uliozuka na kuteketeza jengo refu la Grenfell Towerkatika jiji la London,Uingereza ambapo Jeshi la Zimamoto limesema watu wengi walikwama. murotv.blogspot.com imezinasa hizi picha 21 za tukio hilo.
PICHA 21: Jengo la Grenfell Tower, London lilivyoteketea kwa moto
Reviewed by Unknown
on
June 14, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment