PICHA 7: Lionel Messi na Fabregas waki-enjoy beach na familia zao
Michezo
PICHA 7: Lionel Messi na Fabregas waki-enjoy beach na familia zao

Lionel Messi na Cesc Fabregas bado wameendelea kuwa karibu na wamenaswa katika picha wakiwa na familia zao wana-enjoy katika fukwe za Hispania kipindi hiki cha mapumziko ya Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya.

Fabregas na Messi wametumia likizo zao pamoja katika kisiwa cha Balaeric Hispania, huku Lionel Messi akiwa na mama watoto wake Antonella Roccuzz na mwanae Thiago wakati Fabregas pia alikuwa na mpenzi wake Daniella Semaan pamoja na mtoto wake wa kike Lia.




Fabregas na Messi enzi hizo wakiwa FC Barcelona

No comments:
Post a Comment