Header Ads

Good News timu anayocheza Mtanzania Ujerumani imetwaa Ubingwa

MuroTV

Michezo

Good News timu anayocheza Mtanzania Ujerumani imetwaa Ubingwa

Good news kwa mtanzania Emily Mgeta anayecheza soka la kulipwa Ujerumani katika club ya Sport Freunde Lauffen, timu anayocheza mtanzania Emily Mgeta leo June 15 imetwaa Kombe la Baden Wurttemberg.

Timu ya Mgeta imetwaa taji hilo baada ya kufanikiwa kuifunga TSG Wustenrot kwa magoli 2-0, ushindi huo sasa unaipa nafasi nyingine timu ya Sport Freunde Lauffen ya kushiriki Kombe la Ujerumani (Germany Cup).

No comments:

Powered by Blogger.