Orodha ya Wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi TFF
MuroTV
MICHEZO
Orodha ya Wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi TFF

Ifuatayo
ni orodha kamili ya Wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi
TFF katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani
Dodoma.
Wanafamilia hao ni wale waliojitokeza juzi Ijumaa na jana Jumamosi katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar es Salaam.
URAIS
Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa
MAKAMU RAIS
Mulamu Nghambi
Michael Wambura
Geofrey Nyange
WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI
Soloum Chama
Ephraim Majinge
Elias Mwanjala
Saleh Alawi
Kaliro Samson
Vedastus Lufano
Kenneth Pesambili
Mbasha Matutu
Samwel Daniel
Dunstan Mkundi
Athuman Kambi
Shaffi Dauda
Golden Sanga
Charles Mwakambaya
Benista Rugola.
Thabit Kandoro
Goodluck moshi
James Mhagama
Husen Mwamba
Sarah Chao
Isaa bukuku
Stewat Masima
Emmanuel Ashery
Abdul Sauko
Musa Sima
Stanslaus Nyongo
Ayoub Nyenzi
John Kadutu
Baraka Mazengo
Khalid Mohamed
Mohamed Aden
Cyprian Kuyava
Saleh Abdul
IMETOLEWA LEO NA
Alfred Lucas
Ofisa Habari TFF

Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851
No comments:
Post a Comment