Okwi amewasili Dar es Salaam kimya kimya kujiunga na Simba
Baada ya mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba SC Zacharia Hans Pope kuthibitisha kuwa mshambuliaji wao wa zamani wa kimataifa wa Uganda Emanuel Okwi ataingia Dar es Salaam Jumamosi ya June 24, usiku wa June 24 ni kweli ameingia Dar es Salaam.
Kaburu tayari kwa kuondoka Airport baada ya kumpokea Okwi.



No comments:
Post a Comment