Kauli ya RC Mghwira baada ya kuvuliwa uenyekiti ACT Wazalendo
Baada
ya kuripotiwa kuwa ACT Wazalendo wamemvua uenyekiti Anna Mghwira
aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ikiwa ni baada ya kuteuliwa kuwa RC wa
Kilimanjaro, Mghwira ameeleza kinachoendelea.
RC Mghwira
amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo vya habari kuwa amepinga
kuvuliwa nafasi ya uenyekiti kwenye chama cha ACT Wazalendo.
amesema
alichozungumza ni kupinga utaratibu uliotumika, na vyama vya siasa ni
sehemu ya utumishi wa umma na hawafanyi vyama kwa ajili yakujifurahisha. MuroTV na murotv.blogspot.comzipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati. KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;
No comments:
Post a Comment