MAHAKAMA KUU UGANDA YAOMBA KABURI LA IVAN DON LIBOMOLEWE
MuroTv
Mix
Mahakama Kuu Uganda yaomba Kaburi la Ivan Don libomolewe
Hatua hiyo inakuja baada ya Benki Kuu ya Uganda kutoa tamko kuvitaka Vyombo vya Dola kuwachukulia hatua waliotupa hela kwenye kaburi la Ivan Don ikiwa ni siku tatu baada ya mazishi ya Mfanyabiashara huyo maarufu.

No comments:
Post a Comment