Kwenye U-HEARD leo ni ishu ya Wakazi na Godzilla kurushiana maneno…kisa?
MuroTV
Burudani
Kwenye U-HEARD leo ni ishu ya Wakazi na Godzilla kurushiana maneno…kisa?
Chanzo kinadaiwa ni Wakazi kuhusisha issue ya Godzilla kwamba ana stress zinazotokana na muziki wa Bill Nass hivyo Soudy Brown alipiga story na Godzilla na Wakazi ili kupata ukweli:>>>“Yeye alikuwa ana attack kazi zangu direct halafu anajifanya kuwa hataki mazoea wakati juzi tulipoingia Open Mic Thursday niliiingia na akina Nikki Mbishi na washikaji wengine lakini yeye kakimbia. Asianze kuongea sana kama yeye ndio anajua kila kitu.” – Wakazi.
“Mimi ni Superstar kwa hiyo inatokea naweza nikawepo, dakika mbili nisiwepo yaani sionekani mara kwa mara. Nahisi wao ndio wanazo stress lakini siyo mimi.” – GodZilla.
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment