Kilichomtoa machozi Q Chillah kwenye XXL ya Clouds FM (Exclusive)
Kutoka Bongoflevani ukitaja wasanii wakongwe kwenye game sio rahisi kuliacha jina la Shaban Katwila a.k.a Q Chief au Q Chillah kama anavyojiita kwasasa, kupitia XXL ya Clouds FM June 22, 2017 alikuwa On Air kuitambulisha single aliyoshirikishwa na rapa Chid Benz alionekana akiongea kwa hisia kali hadi kutoa machozi.
Q Chillah ameeleza sababu za yeye kulia wakati akiwa kwenye interview live. Chillah amesema >>> “Niliguswa na hali ya Chid Benz, na najua nimepitia hali nyingi sana kwenye maisha ambazo Chid amepita”
“Lakini kikubwa kilichoniliza nimewahi kuwapoteza marafiki wakubwa sana ambao niliwapenda, wasanii wakubwa, majina makubwa Tanzania mtu kama Albert Mangweha “Ngawair” Mwanahiphop ambaye mimi sijawahi kumuona zaidi yake”<<< – Q Chillah
KAMA ULIPITWA NA FULL VIDEO YA GALLA NIGHT-SAUT MWANZA CLICK HAPA CHINI KUIANGALIA
Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851

No comments:
Post a Comment