Imetajwa Top 10 ya Vyuo Vikuu bora duniani, Afrika ipo?
Duniani
Imetajwa Top 10 ya Vyuo Vikuu bora duniani, Afrika ipo?
June 9, 2017 zimetoka ripoti za Vyuo Vikuu bora Duniani kwa mujibu wa QS World University Ranking mwaka 2017 ambapo list inaongozwa na Massachusetts Institute of Technology.
Kwa mujibu wa list hiyo Marekani imekuwa kinara kwa kuwa na Vyuo Vikuu bora zaidi ikiwa na Vyuo Vikuu 5 kati ya 10 ambapo ubora wa Chuo hupimwa kutokana na kiwango cha elimu kinachotoa, vitabu bora vilivyochapiswa na maoni ya wasomi na waajiri duniani.

MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment