Hekaheka ya Mtwara noma, Mwanaume amuoa mwanaume mwenzie bila kujua
Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo June 29, 2017 imetokea
Mtwara ambako mwanaume mmoja amemuoa mwanaume mwenzie bila kujua na
kuishi naye miezi minne bila kushiriki tendo la ndoa baada ya mwanaume
aliyeolewa kudai anaumwa.
Tukio hilo limetokea baada ya mwanaume
kukosea namba na kumpigia aliyejifanya mwanamke kisha kuanzisha uhusiano
ya kimapenzi hata wakafikia hatua ya kukubaliana kufunga ndoa ambapo
mwanaume huyo alikuwa anavaa mavazi ya kike kiasi kwamba ilikuwa ngumu
kubainika kama ni mwanaume.
No comments:
Post a Comment