PICHA 4: IGP Sirro atembelea Kijiji alichouawa Mwenyekiti Kibiti
Siku moja baada ya kuripotiwa mauaji ya Mwenyekiti wa Kitongoji
na Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi
wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, IGP Simon Sirro ametembelea
kijijini hapo kutoa pole kwa wafiwa.
Aidha, IGP Sirro amewataka wananchi kijijini hapo kutowafumbia macho
wahalifu wanaotenda mauaji hayo akiwataka kushirikiana na Jeshi la
Polisi kwa kutoa taarifa za wahalifu hao.
No comments:
Post a Comment