Hii ndio biashara mpya ya Diamond Platnumz….
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz, ambaye kwa sasa anamiliki lebo ya muziki wa WCB Wasafi, Mtandao wa kuuza muziki wa Wasafi.Com, Manukato ya Chibu Perfume ameongeza biashara nyingine kwenye jina lake….
Diamond sasa ni muuza karanga, YES zinaitwa Diamond cashew Nuts, Diamond Karanga , Maelezo tosha kabisa kuhusu bidha hii yako hapa….
“Am glad to inform you that today have launched my new Product called @DiamondKaranga (Diamond cashew Nuts) which will be available in East Africa for 300/= Tanzanian Shilling retail Price and 20,000/= Wholesale Price ….. (Leo nimezindua Bidhaa yangu mpya iitwayo @Diamondkaranga ambayo itakuwa inapatikana Madukani kote Africa Mashariki nzima kwa shilingi miatatu tu (300/=) bei ya rejareja kwa pakiti moja… na shilingi elf ishirini (20,000) kwa boksi moja lenye pakiti Mia moja (100) ndani ambazo ukiuza unapata faida ya elf kumi… Karanga hizi nazinunua kwa wakulima kutoka mikoa ya DODOMA, MTWARA, TABORA n.k…. kisha kuziongezea njonjo na kuzipakia katika pakiti za kisasa, ili mtu mwenye hadhi yoyote aweze kutembea nazo popote atakapo… ) usiseme tena Karanga sema DIAMOND KARANGA!!!!“

No comments:
Post a Comment