EXCLUSIVE: “Nimeingia rasmi kwenye Ubondia” – Yusuph Mlela
Taarifa nyingine kutoka kiwanda cha Bongomovie ni hii inayomuhusu Yusuph Mlela ambaye amekutana na na waandishi wa habari na kutangaza rasmi kuingia kwenye ubondia na yuko tayari kwa pambano muda wowote.
“Nimeingia kwenye ubondia lakini sio kama nimeacha kucheza filamu. Kwa sasa filamu zangu nafanya nchini Kenya na zinaonyeshwa kwenye kituo kikubwa hapa nchini Tanzania. Nimeingia kwenye ubondia kwa sababu hiki ni kitu ambacho nilikuwa nakipenda tangu utotoni.” – Yusuph Mlela.

“Kuna promoter alinifata kwa ajili ya
kuaadaa pambano mimi na Nay wa Mitego lakini bado tupo kwenye maongezi.
Simuogopi mtu yeyote ili mradi awe kwenye uzito wangu nitakuwa niko
tayari kupigana naye.” – Yusuph Mlela.

No comments:
Post a Comment