Everton kumsajili Pickford
MuroTV
Michezo
Everton kumsajili Pickford
Klabu ya soka ya
Everton imefikia makubaliano ya kumsajili kipa Jordan Pickford kutoka
klabu ya Sunderland kwa dau pauni milioni 30.
Pickford, kwa sasa
yuko kwenye kikosi cha England cha chini ya miaka 21 anatarajiwa
kufanyiwa vipimo vya afya baada ya kutoka kwenye majukumu ya timu ya
taifa.Usajili wa kipa huyo mwenye umri wa miak 23 ukikamili utakuwa wa gharama Zaidi kwa kipa wa England kusajiliwa kwa dau hilo
Pickford alijunga na kituo cha michezo cha paka weusi wa Sunderland mwaka 2010 na alicheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Arsenal katika michuano ya kombe la fa
FOLLOW NA LIKE PAGE YANGU YA FACEBOOK HAPA CHINI
CLICK HAPA ☛ OPEN
FOLLOW ACCOUNT YANGU YA INSTAGRAM
CLICK HAPA ➼ OPEN
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;




No comments:
Post a Comment