Thailand:Kombe la EFL kuitwa Carabao Cup
MuroTV
Michezo
Thailand:Kombe la EFL kuitwa Carabao Cup
Carabao ni Kampuni inayotengenezwa kinywaji kinachoongeza nguvu
Michunao ya kombe
la ELF cup ya nchini England kwa sasa itajulika kama Carabao Cup
kutokana na kupata udhamini mpya wa kampuni ya Carabao ya nchini
Thailand
Kampuni hiyo inayotengeneza Kinywaji cha kuongeza nguvu mwilini imesaini mkataba wa miaka mitatu wa kudhamini michuno hiyo.Ratiba ya kupanga droo ya mechi za raundi ya kwanza ya zamichuano hiyo itafanyika ijumaa hii huko Bangkok, Thailand.
Michezo ya kwanza itafanyika kati ya Agosti 8 na 9 nc mchezo wa fainali utapigwa katika dimba la Wembley Februari 25, 2018.
Klabu ya Manchester United ndio bingwa mtetezi wa michuano hiyo
FOLLOW NA LIKE PAGE YANGU YA FACEBOOK HAPA CHINI
CLICK HAPA ☛ OPEN
FOLLOW ACCOUNT YANGU YA INSTAGRAM
CLICK HAPA ➼ OPEN
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;



No comments:
Post a Comment