Picha za aliyefanya shambulizi Manchester zatolewa
MuroTv
Dira ya Dunia
Picha za aliyefanya shambulizi Manchester zatolewa
Picha za CCTV zinazomuonyesha Salman Abedi usiku aliofanya shambulizi katika ukumbi wa Manchester na kuwaua watu 22 zimetolewa.
Maeneo 14 yanasakwa na wanaume 11 wamekamtwa kwa kushukiwa kuhusika katika ugaidi.- Shambulizi la Manchester: Tunafahamu nini?
Waziri mkiu Theresa May anasema kuwa kiwango cha tisho lililopo kimepunguzwa na wanajehsi waliotumwa kuwasaidia polisi wataondolewa kuanzia siku ya Jumatatu
Mamia ya polisi waliojihami wanaendelea kulinda mamia ya tamasha kote nchini Uingereza.
Mamia
ya polisi walitumwa wakati mashabiki 50,000 walihudhuriw tamasha la
Courteeners kwenye uwanja wa kriketi wa Old Trafford, ambalo ni tamasha
kubwa kufanyika mjini humo tangu shambulizi kutokea.- Mshukiwa wa shambulio la Manchester atajwa



No comments:
Post a Comment