MWALIMU ADAIWA KUMBAKA MWANAFUNZI WAKE
HekaHeka
HEKAHEKA: Hii imetokea baada ya Mwalimu kudaiwa kumbaka mwanafunzi wake
Tukio hilo limetokea baada ya mzazi wa mwanfunzi huyo kumkabidhi mwalimu huyo mtoto wake ili amfundishe masomo ya ziada ‘tuition’ ambapo inadaiwa kuwa walikuwa wanabaki na mwalimu darasani baada ya muda wa masomo.
Mwalimu huyo ambaye aliomba awe analipwa Tsh. 1,000 kwa siku ili amsaidie anadaiwa kumfanyia kitendo hicho mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 13 tangu akiwa anasoma darasa la Sita kabla ya kuamua kumueleza ukweli dada yake.

No comments:
Post a Comment