MTANDAO WA ENGLANG ULIORIPOTI KUHUSU SPORTPESA SUPER CUP
Michezo
Mtandao wa England uliyoripoti kuhusu SportPesa Super Cup

Good news nyingine iliyoritipotiwa leo na moja kati ya mitandao mikubwa England ni kuhusiana na club ya Everton kuwa itakuja Tanzania na Alhamisi ya July 13 itacheza mchezo mmoja wa kirafiki na moja kati ya timu nane zitakazoshiriki michuano ya SportPesa Super Cup.

Wachezaji wa Everton Idrissa Gueye na Phil Jagielka wakiwa na jezi zao watakazozitumia msimu ujao.

Game ya Everton itakuwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam na ujio wao Tanzania ni sehemu yao ya makubaliano yao ya udhamini na SportPesa, mtandao wa liverpoolecho.co.uk ni moja kati ya mitandao mikubwa katika jiji la Liverpool ambapo inatokea timu ya Everton.
No comments:
Post a Comment