MICHEZO: UWANJA WA JAMUHURI MUDA HUU
Michezo
JE NI SIMBA AU MBAO, KUWAKILISHA KIMATAIFA?
By Prosper Muro,Dodoma
May 27, 2017
JAMUHURI Studium imeshatapika na watu bado wanazidi kuja uwanjani, Mashabiki wa simba wanamorali ya kutosha kuishaabikia timu yao #WEKUNDU WA MSIMBAZI
Na MBAO nao wanataka kuweka rekodi mpya msimu huu japo walishapoteza mechi mbili dhidi ya SIMBA.

No comments:
Post a Comment