SERIKALI BAADA YA TAARIFA YA MBUNIFU WA NEMBO YA TAIFA
Serikali baada ya taarifa ya Mbunifu wa Nembo ya Taifa

Siku chache zilizopita kupitia
vyombo vya habari na mitandao ya kijamii iliripotiwa habari ya mtu
ambaye alibuni Nembo ya Taifa ambapo taarifa hizo zilieleza juu ya hali
yake ya afya na mazingira maisha yake kwa ujumla.
Sasa new story leo May 25, 2017 ni kuwa baada ya kuzipata taarifa hizo Serikali kupitia Naibu Waziri wa Afya, Dr. Hamisi Kigwangalla imemtembelea mzee huyo ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Amana na kuamua kumhamishia Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi.

No comments:
Post a Comment