SIASA: MAGUFULI AANDIKA MAMBO MATATU LEO KATIKA TWITTER YAKE LEO.
Siasa
Mambo matatu ameyaandika Rais Magufuli leo May 27, 2017
ByProsper Muro
Leo
May 27, 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais Magufuli ameandika mambo
matatu kuhusu ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini
Uganda hadi bandari ya Tanga ambapo Rais ameitaja hiyo kama njia ya
fursa kwa wawekezaji.







No comments:
Post a Comment