Header Ads

MICHEZO: JE NI ARSENAL AMA CHELSEA?

Michezo

WENGER ANAHITAJI USHINDI LEO ILI KUWEKA REKODI MPYA NA CONTE NAE ANATAKA KUWEKA REKODI MPYA.......

By Prosper Muro
May 27, 2017
   FA CUP FINAL: Mchezo wa leo ni wa kwanza tangu mwaka 2012 Timu hizi zilipokutana katika finali ya mchezo huu ambapo Arsenal aliibuka mshindi kwa kuifunga Chelsea 2-0 na kuhitimisha msimu wakiwa na ushindi wa FA CUP na PREMIER LEAGUE- Rekodi ambayo Conte anataka kuiweka leo akishinda dhidi ya Wenger wakati Wenger nae anataka kuweka rfekodi ya kuwa na makombe mengi ya FA CUP- England

No comments:

Powered by Blogger.