MAMBO YA KUFAHAMU KUHUSU SSK, HISTORIA NA WASANII WAKE
Burudani
Mambo ya kufahamu kuhusu SSK, historia na wasanii wake

Wakali wawili kutokea kundi hilo Wakazi na P the MC wamefunguka kuhusu kundi hilo wakisema wao ni zaidi ya kundi ambapo tayari wameshatengeneza album na kusisitiza hawatovunjika na ikitokea hivyo itakuwa tayari wameshafikia malengo.
>>>“Tofauti kubwa ya kwanza ni; OMG walianza kama Kundi lakini SSK tulianza tukiwa tayari tuna brand zetu. Kwa hiyo tukaungana kutengeneza hili. Wanasema umoja ni nguvu ndio maana tukaweza kuanzisha kundi.” – P the MC.
No comments:
Post a Comment