GOOD NEWS KWA MASHABIKI WA RIHANA
Burudani
Good news kwa mashabiki wa Rihanna…ametulea hii

Rihanna ametambulisha sandlas za jeli ambazo hutumika zaidi kwa wapenzi wa kuogelea na matembezi ya hapa na pale ambapo unaambiwa aina hii ya sandles ilishawahi kutamba miaka ya 1990 huku Riri akiziboresha zaidi kwa kuziachia katika rangi tatu Pink, Nyeusi, na Bluu bahari zikiuzwa kwa pound 64.99 sawa na Tsh. 187,278.


No comments:
Post a Comment