Header Ads

LIONEL MESSI ATWAA TUZO YA MFUNGAJI BORA, EUROPA

Mchezaji huyo wa Barcelona ametwaa tuzo kama mfungaji bora wa Europa na kupewa kiatu cha dhahabu msimu huu wa mwaka 2016/2017
Tuzo hiyo imemfanya Messi kufikia rekodi ya mchezaji wa Real Madrid- Christian Ronaldo kwa kutwaa tuzo hiyo mara nne. (Tazama picha).

No comments:

Powered by Blogger.