KIONGOZI WA IQAN AIKOSOA VIKALI SAUDI ARABIA
MuroTv
Dira yaDunia
Kiongozi wa Iran aikosoa vikali Saudi Arabia
Kiongozi wa kidini nchini Iran , Ayatollah Ali Khamenei, ametoa matamshi makali dhidi ya hasimu wake Saudi Arabia.
Akihutubia
waumini wa dini ya kiislamu wakati wa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhan,
Ayatollah ameishtumu Saudi kuwa ina uhalifu mwingi na haifuati Korani.Amesema kwamba viongozi wa Saudi, " Ni kama wanakamuliwa kama Ng'ombe' na Marekani"
- Ayatollah Khamenei aishtumu Saudia inavyosimamia Hajj
- Wasaliti kunyongwa Saudi Arabia
- Mwanamfalme ataka wanawake waendeshae magari Saudi Arabia
Saudi Arabia ni mshirika mkuu wa Marekani katika juhudi za kukabiliana na ushawishi wa Iran eneo la Mashariki ya Kati.
No comments:
Post a Comment