Header Ads

HEKAHEKA: MWARA WAMTAJA MTU ANAEWAINGILIA WANAWAKE KIUSHIRIKINA

MuroTv

HEKAHEKA
May 30, 2017
Hekaheka ambayo imetokea Mtwara katika mtaa wa Magomeni Chipuputa ambako kunadaiwa kuwa na mtu anayeitwa Rajabu kuwaingilia wanawake kwa njia ya Ushirikina.
Inadaiwa kuwa mtu huyo hutumia nguvu za kishirikina kuingia katika nyumba za watu na kuwaingilia huku wakishindwa kumkamata kutokana na ushirikina wake.

No comments:

Powered by Blogger.