Header Ads

HEKAHEKA: JEMBE BEACH WAAMBULIA PATUPU JANA....USIKU WA WALIMU

MuroTv

HEKAHEKA : KUPATWA KWA HAFLA, JEMBE BEACH-NINI TATIZO?

Imeandikwa na Prosper Muro
May 28, 2017
 
 
HAFLA hiyo iliandaliwa na baadhi ya wanafunzi wenzao wa BAED mwaka wa tatu (Majina yamehifadhiwa) akiwemo MC na Waandaaji wa hafla hiyo. Baadhi ya wanafunzi wenzao wanaonekana wakitoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii hasa Whatsapp, kuwa chanzo cha wao kutokufika ni kukosekana kwa taarifa kwa wakati na mipango mibovu ya waandaaji.... MuroTv ilikuwepo kwenye eneo la tukio na kujionea kwanzia maandalizi yakiwa ni mazuri kabisa hadi mida ya saa 8 za usiku mziki ulipozimwa walikuwa wamefika na kuondoka watu wachache kwa makundi ambayo yalifika na kuondoka kwa nyakati tofauti tofauti.
Kibacha-Mmoja wa waandaaji

Blackey-MC

MAANDALIZI YALIVYOKUWA






















 Muda wa Hafla










MuroTv ilikuwepo mubashara kabisa

Msanii Coslee alifika kwaajili ya kutumbuiza

Baadhi ya vinywaji vilivyokuwepo

No comments:

Powered by Blogger.